Tuesday, October 31, 2017

Madam G kuonyesha uwezo wa Nyimbo za Asili ,Zaidi ya Saida Karoli

0 comments
Mwanamuziki wa nyimbo za Asili anajulikana kwa jina la Madam G ambaye amekuwa gumzo mitaani kwa kazi zake ametupatia hii wakwetu jione hapa makubwa yake nimafunzo na maelimisho kwa jamii kuacha kupenda kuendekeza imani za  Kishirikina tizama upate Funzo wakwetu .

No comments:

Post a Comment