New Video | Mary Nasson – Damu Imenisafisha (Gospel)

Kutoka mjini Moshi Kilianjaro kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania akifahamika kwa jina la Mary Nasson na hii ni video yake ya kwanza kuachia inayobebwa kwa jina la Damu Imenisafisha ikiwa imeongozwa na director Amigo Johnson.

“Kwa Upendo wa Mungu, tumesafishwa na damu ya Yesu, Ni upendo wa namna ya pekee kwetu kutoka kwa Mungu aliyemtoa mwana wake wa pekee ili aje kutusafisha dhambi, Hakika kwa damu yake sisi tumepona, Karibu uangalie video hii iliyobeba habari njema kwa ajili yako, Mungu aendelee kukubariki sana.” – alisema Mary
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Ameen.Share on Google Plus

About Batazatown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment