New Video | Moji Shortbabaa – Kameumana (Gospel)

 
Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara nyingine Moji Shortbabaa amekusogezea video ya wimbo wake mpya uitwao Kameumana ikiwa katika mtindo wa ladha ya midundo ya kwaito, Hii ikiwa ni kazi yake ya tatu kuachia kwa mwaka 2018.

Video hii imeongozwa na director Dambiz kutoka studio za Cloudmontage na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Sasa Mziki chini ya mikono ya prodyuza Saint P.
Karibu mpendwa utazame video hii iliyobeba habari njema kwa ajili yako, Ameen.


Share on Google Plus

About Batazatown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment