Mfahamu : Ery J Wa Kahama na kazi yake ya sasa inayofanya Vizuri mtandaoni "Dady"


Anajulikana kama ERY J WA KAHAMA msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alianza harakati zake za muziki rasmi 2005 na kufikia kurekodi mwaka 2008  na mpaka sasa amekuwa na ngoma zisizopungua 3 ambazo ni official ila ERY amekuwa msanii wa kitofauti kutofautisha na
wasanii wengine wa kisasa baada ya kuwa Real zaidi kutaja anapo tokea na kudumisha asili yake kuwa ni kijana wa kahama hata kama kwa sasa amekuwa akifanya kazi zake za muziki katika jiji la dar es salaam alisema Ery j W a Kahama .


Kwa sasa ametukaribisha kusikiliza kibao chake kipya kitwacho Dady ikiwa nikazi nzuri yenye mafunzo na kushukuru mzazi kutoka alipotokea mpaka sasa na mungu kiujumla hakiki uwezi kosa kitu katika video hii karibu uitazame hapa sasa .
Share on Google Plus

About Batazatown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment